KINANA ATINGA BABATI LEO, KUENDELEA NA ZIARA YAKE MKOANI MANYARA
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza baada ya kuzindua shina la Magugu, Babati leo
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza baada ya Kinana kuzindua shina la Magugu, Babati
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizindua shina la wakereketwa wa CCM, wajasiriamali wa wakoboa mchele wa Magugu, Babati
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akipanda mti baada ya kukagua wodi ya mama na mtoto kwenye Kituo cha Afya Magara, Babati, leo
Mbunge wa Babati, Jitu Soni akieleza alivyotekeleza ailani ya CCm katika jimbo lake, Kinana alipokagua ujenzi Kituo cha Afya Magara, leo
Kinana akizungumza baada ya kukagua ujenzi wa wodi ya Mama na mtoto kwenye kituo cha Afya cha Magara, Babati, leo.
Nape akizungumza baada ya Kinana kukagua ujenzi wa wodi ya Mama na mtoto kwenye kituo cha Afya cha Magara, Babati, leo.
Msafara wa Kinana ukipita kwenye mto Magara wakati ukitoka Mbulu kuingia babati leo
Kinana akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Magara, wakati akiingia Babati, leo. Picha na Bashir Nkoromo-theNkoromo Blog
0
Comments

No comments:
Post a Comment