Tangazo la Shiwata created by innowise(Banners)



Saturday, January 18, 2014

Naibu Waziri wa Habari,Vijana Utamaduni na Michezo,Amos Makala (kulia)akihojiwa na waandishi wa habari (hawapo pichani) baada ya kumwakilisha Rais Jakaya Kikwete katika kongamano la wasanii lililoandaliwa na Mtandao wa wasanii Tanzania (SHIWATA) lililofanyika ukumbi wa Lamada, Dar es Salaam.Kulia ni Mwenyekiti wa Shiwata, Cassim Taalib (Picha na Peter Mwenda)

No comments:

Post a Comment

Advertising Here